Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Matumizi ya Mfumo wa e-Mrejesho Kutuma Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo au Pongezi kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)
Imewekwa: 30 Sep, 2023

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawataarifu wananchi na umma kwa ujumla kuwa imeanza rasmi kutumia mfumo wa eMrejesho kwa ajili ya kupokea malalamiko, mapendekezo, pongezi au maulizo. Hivyo, wananchi wote mnashauriwa kutumia mfumo huo unaopatikana kwa anwani ya https://emrejesho.gov.go.tz/ au kwa kupakua Mobile App ya eMrejesho au kwa kutumia simu yako kwa njia ya Msimbo (USSD) au kwa kupitia tovuti ya Mamlaka https://www.latra.go.tz/  sehemu ya tovuti mashuhuri.

Kutuma malalamiko kwa kutumia tovuti, fuata maelekezo yafuatayo;

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo