Imewekwa: 11 May, 2022
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inapokea malalamiko ya wateja kuhusu huduma zinazotolewa na Mamlaka. Malalamiko hayo ni yale yanayohusu vitendo vya rushwa, unyanyasaji, ubaguzi au kutotendewa haki kwa namna yoyote.