Imewekwa: 08 Jun, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za Daladala na njia zinazoongeza idadi ya Magari. Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo ifuatavyo;