Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Njia Mpya za Usajili wa Leseni Mkoani Dar es Salaam
Imewekwa: 11 Oct, 2023

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa kuzingatia changamoto ya usafiri katika barabara ya Morogoro na juhudi zinazofanywa na UDART kuboresha huduma za usafiri, Mamlaka imeamua kuchukua hatua za dharura kwa kuwakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia tajwa hapo chini ili kusaidia wananchi wanaopata adha ya usafiri wakati wa kuelekea kwenye majukumu ya kujenga uchumi wa Nchi yetu.

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo