Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Ruhusa kwa Mabasi ya Abiria Kuanza Kupatiwa Ratiba ya Kusafiri kwa Saa 24 Kuanzia Jumapili tarehe 01.10.2023
Imewekwa: 30 Sep, 2023

Kwa dhamira ya dhati aliyonayo Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuona mazingira ya kufanya biashara Nchini yanakuwa bora na kuimarisha shughuli za kiuchumi miongoni mwa Watanzania na Wawekezaji, Serikali inatangaza kuanza rasmi kutolewa kwa ratiba za mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24 kuanzia tarehe 01 Oktoba, 2023.

 

Katika kutekeleza uamuzi huo, wenye nia njema, yafuatayo yanapaswa yazingatiwe na wadau wote wa usafiri na usafirishaji wakiwemo wamiliki wa mabasi, abiria, madereva, LATRA, TANROADS, TAMISEMI na Jeshi la Polisi:

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo