Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)
Imewekwa: 19 Jun, 2023

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha 7(1)(a) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, Sura ya 413, alimteua Prof. Ahmed Mohamed Ame kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Kufuatia uteuzi huo, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (Mb), Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, kwa mujibu wa kifungu cha 7(1)(b) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, Sura ya 413, ameteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya LATRA kama ifuatavyo:

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo