Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Hotuba ya Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani, Mkuu wa Mkoa Tabora Katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli tarehe 09 Oktoba, 2023, Chuo cha Reli, Tabora.
Imewekwa: 10 Oct, 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua vyema umuhimu wa ulinzi na usalama wa miuondombinu ya reli.  Serikali imeendelea kujenga miundombinu mipya ya reli na kuboresha iliyopo ili uendeshaji wa shughuli za reli uwe na tija. Usalama wa reli ndiyo kichocheo kikubwa cha uchumi wetu hapa Nchini, na eneo zima la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Afrika kwa jumla.

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo