Imewekwa: 26 Jun, 2025
Kutokana na kuwepo kwa mahitaji makubwa ya huduma ya usafiri kwenda na kutoka kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Dar es Salaam kila mwaka, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa ruhusa kwa daladala kutoa huduma ya usafiri kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji kuelekea viwanja vya maonesho hayo kwa masharti yafuatayo: