Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Mkutano wa Wadau Magari Maalum ya Kukodi
Imewekwa: 11 May, 2022

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inatarajia kuanza kutoa Leseni za Mabasi Maalum ya Kukodisha (Special Private Hire) baada ya Kanuni za utoaji leseni hizo kukamilika

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo