Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Njia Mpya za Usajili Leseni za Daladala Mkoani Dar es Salaam Februari 3, 2023
Imewekwa: 03 Feb, 2023

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za daladala jijini Dar es Salaam, ili kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo