Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Njia Mpya za Usajili wa Leseni Mkoani Dar es Salaam
Imewekwa: 18 Jun, 2024

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za Daladala Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo