Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Njia mpya za usajili wa leseni Mkoani Dar es salaam
Imewekwa: 23 Oct, 2023

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawataarifu wasafirishaji kuwa imeongeza nafasi ya magari 15 kuweza kuomba leseni kwenye njia tajwa hapo chini, ili kuendelea kufikisha huduma karibu na wananchi na kupunguza adha ya usafiri.

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo