Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Utoaji wa Leseni za Muda Mfupi Kipindi cha Mwisho wa Mwaka
Imewekwa: 24 Nov, 2022

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawataarifu wamiliki wa magari ya abiria kuwasilisha maombi ya leseni za muda mfupi (short term licence) kwa ajili ya kutoa huduma kwenye njia ambazo huwa na uhitaji mkubwa wa huduma za usafiri wa abiria kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

Leseni hizo zitatolewa kuanzia tarehe 08 Desemba, 2022 kwa magari ya abiria yanayokidhi vigezo vifuatavyo;

Pakua hapa

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo