Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Wamiliki Mabasi ya Sauli na New Force Watakiwa Kujieleza Kabla ya Kuchukuliwa Hatua za Kiudhibiti
Imewekwa: 02 Apr, 2024

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefanya kikao kilichohusisha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na wamiliki wa mabasi ya Sauli na New Force yaliyosababisha ajali ya tarehe 28 Machi, 2024 majira ya saa tisa na dakika arobaini na mbili (09:42) alfajiri, ambapo magari matatu yaligongana eneo la Mashamba ya Mpunga Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani katika barabara ya Morogoro. Kufuatia kikao hicho, Mamlaka imewataka wasafirishaji hao kutoa maelezo kwa maandishi kabla ya kuchukua hatua za kiudhibiti dhidi yao.

Pakua taarifa kamili.

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo