Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Mwaliko wa Mkutano wa Wadau kupokea Maoni kuhusu Marejeo ya Nauli za Mabasi ya Masafa Marefu na Mabasi ya Mijini (Daladala), Jumatano, 18 Oktoba, 2023, Dar Es Salaam
13 Oct, 2023 3:00 asubuhi Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi kutoka kampuni tatu (3) zinazotoa huduma ya usafiri wa abiria wa masafa marefu; Super Feo Enterprises, ABC Upper Class and Transportation Ltd na Happy Nation Co. Ltd, wakiiomba Mamlaka kufanya marejeo ya nauli za mabasi kutokana na ongezeko la gharama za uendeshaji, ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta (petroli na diseli). Mapendekezo ya kampuni hizo ni kuongeza nauli ya sasa ya Shilingi 56.88 kwa kilometa 1 kwa kila abiria kama ifuatavyo;

Soma zaidi

Mwaliko wa Mkutano wa Wadau kupokea Maoni kuhusu Marejeo ya Nauli za Mabasi ya Masafa Marefu na Mabasi ya Mijini (Daladala), Jumatano, 18 Oktoba, 2023, Dar Es Salaam
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo