Imewekwa: 15 Jun, 2026
Wakala atakayedhamiria kuendelea kutoa huduma ya uwakala atapaswa kuhuisha cheti chake ndani ya siku 30 kabla ya cheti chake kuisha muda wake.
Gharama za kuhuisha cheti
i. Ada ya leseni ya Uwakala TZS. 200,000/= kwa mwaka;
ii. Ada ya leseni ya Uwakala kwa Kampuni za Kigeni USD 200 kwa mwaka;
iii. Fomu ya maombi TZS. 50,000/= kwa Mawakala wa ndani na USD 50 kwa Mawakala wa Kigeni

