Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Mapendekezo ya Kanuni za LATRA
Imewekwa: 13 Dec, 2024

Wizara ya Uchukuzi kwa mujibu wa kifungu cha 45 cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, Sura ya 413, inapenda kuwataarifu Wadau wote wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuwa, kutakuwa na Kikao cha Wadau kwa ajili ya kupokea maoni kuhusu Mapendekezo ya Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini ambazo ni:- Soma zaidi

 

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo